RAIS KAGAME AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania na kurejea nchini Rwanda.Mheshimiwa Kagame ameagwa katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam na Waziri…