Resources

TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS, MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UNGA 76

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS, MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UNGA 76) Dodoma, 08 Juni 2021 Tanzania imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Mkutano wa 76 wa…

Read More

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NA NAIBU KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NA NAIBU KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Mheshimiwa Balazo Liberata Rutageruka Mulamula (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Read More

BALOZI MBAROUK AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA SHELL

BALOZI MBAROUK AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA SHELL Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 3 Juni 2021…

Read More

Mhe. Waziri ,Balozi Liberata Mulamula afanya mazungumzo na Mjumbe Maaluum wa Shirikisho la Urusi

 Shirikisho la Urusi limesema linaunga mkono jitihada zinazofanywa na Umoja wa Afrika katika kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo kwa kuwa matatizo ya Afrika yanahitaji kutatuliwa na Waafrika wenyewe…

Read More