Resources

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka MulaMula (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022

Read More

TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS, MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UNGA 76

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS, MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UNGA 76) Dodoma, 08 Juni 2021 Tanzania imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Mkutano wa 76 wa…

Read More

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NA NAIBU KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NA NAIBU KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Mheshimiwa Balazo Liberata Rutageruka Mulamula (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Read More

BALOZI MBAROUK AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA SHELL

BALOZI MBAROUK AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA SHELL Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 3 Juni 2021…

Read More