Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akizungumza katika hafla ya kusheherekea Siku ya Taifa la Kuwait iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuwatumia wataalamu wa Kitanzania walioko ndani ya nchi na wale walioko ughaibuni (Diaspora) katika kutekeleza mipango yake kadhaa yenye umuhimu kwa Taifa. Hapo awali, Serikali…