News and Events
Rest in Peace President - H.E Dr. John Pombe Magufuli
The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation is deeply saddened with the news of the demise of The President of the United Republic of Tanzania H. E Dr. John Pombe Joseph Magufuli, televised on 17 March…
Pumzika kwa Amani Mhe Dkt John Pombe Magufuli
Uongozi, Menejimenti pamoja na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashiriki umepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021 Dar…
KISWAHILI CHAPENDEKEZWA KUTUMIKA RASMI SADC
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiwasilisha mada katika kikao cha Makatibu Wakuu wa SADC kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya mtandao Lugha…
BURUNDI YAIOMBA TANZANIA KUISEMEA KIMATAIFA
Burundi imeiomba Tanzania kuendelea kuisemea nchi hiyo katika majukwaa ya Kimataifa ili iweze kuondolewa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Jumuiya ya Ulaya jambo linalozorotesha maendeleo ya kiuchumi kwa nchi hiyo. Ombi hilo…