WAZIRI MULAMULA: IMARISHENI BIASHARA KATI YA TANZANIA, DRC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) ameutaka Ubalozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kuendelea na jitihada za kuwashawishi wafanyabiashara kutoka nchini…