MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA ITALIA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman amesema Serikali ya Zanzibar inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuwawezesha Wawekezaji wenye tija kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo…