News and Events
WAZIRI MULAMULA ASISITIZA UMOJA NA MSHIKAMANO KWA NCHI ZA AFRIKA NA NORDIC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amesisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic aliposhiriki Mkutano wa 19 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nchi…
WAZIRI MULAMULA ATOA WITO KWA JUMUIYA ZA KIKANDA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTEKELEZA MAKUBALIANO YA AfCFT
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula ametoa wito kwa Jumuiya za kiuchumi za Kikanda za Afrika kushirikiana katika utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kwenye Eneo Huru la Biashara…
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA MWAKA WA FEDHA 2022/2023
Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka MulaMula (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023
WAKULIMA WA KUSINI WAVUTIWA NA UWEKEZAJI WA KAMPUNI YA LONGPING HIGH TECH
Wakulima wa zao la maharage ya soya wa Kanda ya Kusini wamevutiwa na aina ya uwekezaji unaotarajiwa kufanywa na Kampuni ya Longping High Tech ya nchini China, ambayo inalenga kuwawezesha wakulima wa soya katika maeneo mbalimbali nchini…
SEKRETARIETI YA AfCFTA YATOA ELIMU KUHUSU MKATABA WA AfCFTA
Sekretarieti ya Mkataba wa Eneo Huru la Biashara barani Afrika (AfCFTA) limeendesha Warsha ya kujenga uelewa wa pamoja kuhusu Mkataba huo kwa Wabunge na Wajumbe wa Baraza Wawakilishi ili kuwa na uelewa wa pamoja na kuutekeleza kwa…
WAZIRI MULAMULA AFANYA ZIARA KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA KESI MASALIA ZA MAUAJI YA KIMBARI (IRMC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amefanya ziara ya kikazi katika Mahakama ya Kimataifa ya Kesi Masalia za Mauaji ya Kimbari (IRMCT) tarehe 21 Mei 2022 katika eneo la Lakilaki,…
TANZANIA YAFUNGUA KONSELI KUU GUANGZHOU, CHINA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 20 Mei 2022 imefungua Konseli Kuu mjini Guangzhou China. Uwepo wa Konseli Kuu katika mji huo kuta iwezesha Tanzania kutumia vyema fursa za biashara na uchumi na kurahisisha upatikanaji wa huduma…