HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. STERGOMENA L. TAX (MB.), WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ya Shilingi 247,971,524,000 ambapo kati ya fedha hizo, Shilingi 230,083,916,000…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amewasisitiza watumishi wa Wizara hiyo kufanya kazi kwa kujituma na kuzingatia ubora wa kazi wanapotekeleza majukumu yao.Waziri Tax ameyasema hayo…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete wameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea kwa mshtuko, taarifa za kifo cha Mhe. Bernard Kamillius Membe, aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (2007-2015). Kama Waziri wa…
Taarifa zaidi kuhusu fursa za ufadhili huo ikiwemo sifa na taratibu za uombaji zinapatikana kupitia tovuti ya Ubalozi wa Japan nchini Tanzania
https://www.tz.emb-japan.go.jp/itpr_en/mext2024.html
Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris ameondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya kihistoria ya siku tatu iliyofanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.…