News and Events
WATANZANIA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA NCHI WANAZOISHI
Watanzania wametakiwa kuwa mabalozi wazuri katika nchi za ugenini kwa kuzingatia na kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi hizo ili kulinda taswira nzuri ya nchi yao. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
RAIS DKT. SAMIA AWAHAKIKISHIA MABALOZI USHIRIKIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kuwa Serikali itaendelea kushirikiana nao wakati wote wa…
TANZANIA YAAINISHA VIPAUMBELE VYAKE KWA MABALOZI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanisha vipaumbele vyake vya mwaka 2023 kwa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaoziwakilisha nchi zao nchini. Vipaombele hivyo vimeainishwa na Waziri wa Mambo ya…
WAJASIRIAMALI WAASWA KUONGEZA UBUNIFU, UBORA WA BIDHAA
Wajasiriamali Wadogo na wa kati wamehimizwa kuendelea kuongeza ubunifu na ubora wa huduma na bidhaa wanazozalisha ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ushindani katika soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki na Eneo Huru la Biashara Barani…
AFRIKA MASHARIKI WAHIMIZWA KUTUMIA BIDHAA ZA NDANI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ametoa wito kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujivunia na kutumia bidhaa zinazozalishwa katika Jumuiya ili…