Rais Magufuli awaapisha Mabalozi wa Tanzania nchini India na Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. Sylivester M. Ambokile. Hafla za uapisho huo zimefanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.