Skip to main content

News and Events

BREAKING NEWS

Dkt. Faustine Ndugulile, amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika katika uchaguzi uliofanyika leo Jumanne, tarehe 27 Agosti 2024 mjini Brazzaville, Jamhuri ya Congo. Dkt. Ndugulile amewashinda…

Mhe.LONDO AKUTANA NA UJUMBE WA WEF

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo (Mb.) tarehe 17 Agosti, 2024 amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Agenda Ukanda wa Afrika wa Jukwaa la Uchumi…