WAZIRI KOMBO AWATAKA WATAFITI WA AFRIKA KIZANGATI UZALENDO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewataka Wanazuoni, Asasi za Kiraia na Taasisi zinazofanya tafiti kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Bara la Afrika kutanguliza uzalendo…