WAZIRI KOMBO ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA KUTEKELEZA MIKAKATI YA KIKANDA – SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameahidi kushirikiana na Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika kukuza uchumi wa kanda.Hayo yamejiri…