WAZIRI KOMBO KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA KUJADILI AMANI NA USALAMA UKANDA WA MAZIWA MAKUU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ataongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kawaida wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje (RIMC) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ukanda…