PAPA FRANCIS AMTUNUKU MTANZANIA NISHANI YA HESHIMA
Baba Mtakatifu Papa Francis amtunuku Padre Richard Mjigwa, C.PP.S., kutoka Tanzania Nishani ya Msalaba wa Kanisa na Papa kutokana na huduma ya mawasiliano ya Kanisa kupitia Radio Vatican Idhaa ya Kiswahili.Padre Mjigwa pia anahudumu…