KIKAO CHA FOCAC DAKAR KIMEKUWA CHA MAFANIKIO - BALOZI MULAMULA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amesema mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umefanyika kwa mafanikio makubwa. Balozi Mulamula ametoa…