NJE – SPORTS YAONESHA DIPLOMASIA YA MICHEZO INAVYOTEKELEZWA KWA VITENDO DHIDI YA TAKUKURU
Leo tarehe 27 Septemba, 2024 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Denis Londo amefika na kujionea Mtanange kati ya Timu ya Nje Sports wanaume na vijana wa…
NJE – SPORTS YAPONGEZWA NA UONGOZI NA MENEJIMENTI YA WIZARA
Pongezi hizo zimewasilishwa na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu (ADA) Bw. Kawina Kawina alipotembelea na kuzungumza na wachezaji wa timu hiyo walioweka kambi kwenye milima ya Uluguru.Katika mazungumzo…
NJE – SPORTS WANAUME YAFUZU HATUA YA MAKUNDI 16 BORA MICHEZO YA SHIMIWI
Timu ya Mpira wa Miguu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Nje– Sports) Wanaume imefuzu kuingia hatua ya makundi 16 Bora kwenye Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI)…
Waziri Kombo ashiriki kwenye Mkutano wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Commonwealth Foreign Affairs Ministers Meeting - CFAMM)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Commonwealth Foreign Affairs Ministers Meeting - CFAMM) uliofanyika…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa New York nchini…