MABALOZI WAWAPIGA MSASA WATUMISHI WA MAMBO YA NJE
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wametakiwa kuvuna uzoefu kutoka kwa Mabalozi Wastaafu na wwbobevu ambao waliupata baada ya kutumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa na kusaidia kupaisha diplomasia…