Skip to main content

Balozi wa Palestina amekutana na Dkt. Ndumbaro

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hamdi Abduli, katika mazungumzo yao yaliyojikita kwenye kukuza zao na soko…

Dkt. Ndumbaro aanza na Makampuni 41

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), akizungumza na waandishi wa Habari juu ya ujio wa Ujumbe mkubwa wa wawekezaji kutoka Ubelgiji, katika mkutano huo na waandishi wa habari Dkt.…