Tokyo International Conference for African Development-TICAD
Kufuatia mwaliko wa Mhe. Taro Kono, Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo…