RAIS KAGAME AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame, awasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku mbili tarehe 27 - 28 April, 2023. Mheshimiwa Rais Paul Kagame na Ujumbe wake amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
WATANZANIA WALIOKWAMA SUDAN WAWASILI NCHINI SALAMA.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujasiri wa kufanya uamuzi wa haraka wa kuwarejesha…
MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI AMALIZA ZIARA YA KIHISTORIA NCHINI
Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris ameondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya kihistoria ya siku tatu iliyofanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.…
TANZANIA NA MAREKANI ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongeza kuimarika kwa ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani hususan kwenye sekta zinazochangia kuboresha maisha ya watanzania kama afya, elimu,…
KAMALA AWASILI NCHINI
Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris amewasili nchini tarehe 29 Machi, 2023 kuanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi, 2023.Mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…
DKT. TAX AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuzungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mhe. Michael Battle katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.Pamoja na mambo mengine,…