TANZANIA NA CHINA ZASISITIZA KUKUZA USHIRIKIANO
Serikali ya Tanzania na China zimesisitiza kuongeza ushirikiano wa kimaendeleo kupitia ziara mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa juu wa pande zote mbili ili kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kidiplomasia ulioasisiwa na waasisi…