NAIBU WAZIRI LONDO ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA MAWAZIRI NA VIONGOZI WA JUU WA WHO, JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Mawaziri na Viongozi wa Juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO)…