MHE. RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa nchi za Afrika kuwekeza zaidi katika kuboresha afya, elimu na lishe kwa watu wake ili kutengeneza rasilimali watu inayoweza kuchangia maendeleo na…