TANZANIA, ROMANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO MAENEO YA KIMKAKATI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameitaja ziara ya Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Iohannis ni ya kihistoria na ya kwanza kwa kiongozi wa juu wa Taifa hilo kutembelea nchini na imesaidia kuimarisha…