FURSA ZA UFADHILI WA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA UMMA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI FURSA ZA UFADHILI WA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA UMMA Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mrefu katika sekta ya miundombinu chini ya program…