PRESS RELEASE THE LAUNCH OF APRM TANZANIA REPORT The APRM Tanzania Base Report which was prepared under the African Peer Review Process will be launched by Her Excellency Samia Suluhu Hassan, Vice President of the United Republic of…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA RIPOTI YA APRM Ripoti ya kwanza ya Utawala Bora iliyoandaliwa chini ya Mpango wa APRM kwa hapa Tanzania itazinduliwa rasmi na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ziara ya Mhe. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco nchini 12 -13 Julai, 2017 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Serikali ya Ufalme wa Morocco Mhe.Mounia Boucetta na…
Mhe. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt.Suzan Kolimba akipokea zawadi kutoka kwa, Mhe. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Ufalme wa Morocco baada ya mazungumzo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima akitoa neno la ukaribisho kwa ujumbe wa Morocco kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…