MKUTANO WA TATU WA NCHI 25 ZINAZOZALISHA KAHAWA BARANI AFRIKA UMEANZA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mkutano huo wa siku mbili tarehe 21-22 Februari 2025, unawakutanisha viongozi wa serikali, wataalamu wa sekta ya kahawa, sekta binafsi na watunga sera kujadili mikakati ya kuinua sekta ya kahawa barani Afrika kwa lengo la kuongeza…