Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa Ziara ya Kiserikali
Mhe. Rais Jacob Zuma alipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Balozi Fatma awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho nchini Qatar
Mhe. Fatma Mohammed Rajab, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Qatar akiwa katika mazungumzo na Mhe. Sultan bin Saad Al Muraikhi, Waziri wa Nchi, Mambo ya Nje wa Qatar. Mazungumzo hayo yalifanyika baada ya kuwasilisha…
Tanzania na Afrika Kusini za dhamiria kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tanzania na Afrika Kusini za dhamiria kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi. Wataalamu wa Tanzania na Afrika Kusini wapo katika mkutano wa siku nne wa kuandaa mpango bora wa kushirikiana kwenye maeneo mbalimbali…
Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Afrika Kusini nchini
1. UTANGULIZI (i) Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Gedleyihlekisa Zuma anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa ya siku tatu hapa nchini, kuanzia tarehe 10 hadi12 Mei 2017, kwa mwaliko wa…
Wizara ya Mambo ya Nje yapokea magari ya msaada
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) (katikati), akipokea funguo za Magari aina ya Toyota Land Cruiser kutoka kwa Balozi wa Omani hapa nchini, Mhe. Ali Abdullah Al Mahruqi.…
Waziri Mahiga awa Mgeni rasmi hafla ya maadhimisho ya 69 ya uhuru wa Israeli, Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga jana alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya maadhimisho ya 69 ya uhuru wa Taifa la Israeli yaliyo fanyika mjini Dodoma katika Hoteli ya Morena.…
Tanzania na Afrika Kusini za dhamiria kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi.
Wataalamu wa Tanzania na Afrika Kusini wapo katika mkutano wa siku nne wa kuandaa mpango bora wa kushirikiana kwenye maeneo mbalimbali kwa madhumuni ya kukuza uchumi wa nchi hizo. Mkutano huo unaojulikana kama Tume ya Ushirikiano ya…