Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Aldof Mkenda (kulia), akiendelea na mazungumzo na wajumbe wa Timu kutoka ADB ambao ni Bw.Alieu Jeng(Kushoto), Bw. Frsncois Nkulikiyimfura anayefuata…
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bibi Dkt. Otilia Flavian Gowelle pamoja na Naibu Balozi wa Israel nchini, Mhe. Michael Baruch Baror wakiweka saini Hati ya Makubaliano ya kushirikiana…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania anayemakiza muda wake, Mhe. Idzai Chimonyo ambaye alifika ofisini kwa Mhe. Naibu…
Balozi Mteule wa Mali nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Fafre Camara akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga…
Balozi Mteule wa Colombia nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Elizabeth Taylor akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt.…
Balozi Mteule wa Argentina nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Martin Gomez Bustillo akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Balozi Mteule wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Uriel Norman Garibay akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…