TAARIFA KWA VYOMBO HABARI Waziri Mahiga kuzuru Israel Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) atafanya ziara ya kikazi nchini Israel kuanzia tarehe 07 hadi 10 Mei 2018. Ziara…
Mkutano wa 8 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Fedha na Uchumi la Jumuiya ya Afrika Mashariki wafikia tamati jijini Arusha Mkutano huu uliofanyika kuanzia Aprili 28 hadi Mei 5, 2018, kabla ya kuhitimishwa ulitanguliwa na mikutano…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI FURSA ZA UFADHILI WA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA UMMA Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mrefu katika sekta ya miundombinu chini ya program…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchini Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Mhe. Heiko Maas anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku…