Prince William wa Uiingereza awasili nchini
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt Hamis Kigwangala(Mb.), akisalimiana na Mjukuu wa Malkia "Prince" William wa Uingereza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ziara…