Waziri Mwijage awa Mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Uturuki.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage(Mb.), akihutubia kwenye hafla ya maadhimisho ya Taifa la Uturuki, katika hotuba yake Mhe. Mwijage aliishukuru Uturuki kwa kuendelea kuwa mshirika mkubwa wa jitihada…