Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier.…