MASHINDANO YA SADC KWA WAANDISHI WA HABARI KWA MWAKA 2021
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MASHINDANO YA SADC KWA WAANDISHI WA HABARI KWA MWAKA 2021 Dodoma, 15 Oktoba 2020 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha umma kuwa Sekretariati ya Jumuiya…