TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, 16 Desemba 2021 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb.) amewasili nchini Uturuki leo tarehe 16 Desemba 2021 kwa ajili ya kumwakilisha…
BALOZI MULAMULA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MT. LUCIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula ashiriki katika sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia iliyoandaliwa na Ubalozi wa Sweden hapa…
CHINA YAISAIDIA WIZARA YA MAMBO YA NJE MILIONI 714 Serikali ya Jamhuri ya watu wa China imetoa msaada wa shilingi milioni 714/- kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambapo msaada huo utakaotumika kuijengea…
UZINDUZI WA MATANGAZO YA VIVUTIO VYA UTALII KATIKA MABASI NCHINI ISRAEL Katika kuhitimisha maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Mhe. Job Daudi Masima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Israel amezindua…
WAWEKEZAJI ZAIDI YA 140 KUTOKA ITALIA WAWEKEZA TANZANIA Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof. Shukrani Manya…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amesema mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umefanyika kwa mafanikio makubwa. Balozi Mulamula ametoa…