Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Komoro awasilisha Hati za Utambulisho.
TANZANIA NA KOMORO ZAAHIDI KUENDELEA KIMARISHA USHIRIKIANO. Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Komoro, Mhe. Sylvester M. Mabumba mapema wiki hii alikabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Muungano wa Visiwa vya…