BALOZI MUSSA AONGOZA MKUTANO WA ISHIRINI NA SITA WA KAMATI YA MAKATIBU WAKUU WA IORA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaibu Mussa akiongoza Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Ishirini na Sita (26) wa Kamati ya Makatibu Wakuu…