WAZIRI MULAMULA AWAAGA MABALOZI WALIOMALIZA MUDA WA UWAKILISHI NCHINI
WAZIRI MULAMULA AWAAGA MABALOZI WALIOMALIZA MUDA WA UWAKILISHI NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) kwa nyakati tofauti amewaaga Balozi wa Indonesia Mhe. Prof. Ratlan Pardede…