MAWAZIRI WA TANZANIA NA AFRIKA KUSINI WASHIRIKI MKUTANO WA PILI WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO
Mawaziri wa kisekta wa Serikali za Tanzania na Afrika Kusini wamekutana jijini Pretoria, Afrika kusini kushiriki Mkutano wa Pili wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (Bi-National Cooperation - BNC) ngazi ya Mawaziri kati ya nchi hizo uliofanyika…