Tanzania na Iran kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia katika biashara na uwekezaji
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiislam ya Irani zimekusudia kusaini hati mbalimbali za makubaliano ili kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia katika biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili.Mkurugenzi wa…