News and Events
Nje - Sports yajigamba kufanya vyema kwenye Mashindano ya Shimiwi - Morogoro
Ratiba ya makundi katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoanza kufanyika mkoani Morogoro imetolewa hadharani, huku Timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki…
Balozi Shelukindo aongoza Kikao na Sekretarieti ya SADC
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo, ameiongoza timu ya Tanzania ambayo ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika…
Tanzania yakutana na Sekretarieti ya SADC
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza kikao cha Timu ya Tanzania na Sektretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ofisi ndogo za…
TANZANIA YAJIPANGA KUTEKELEZA MAKUBALIANO YA FOCAC 2024
Tanzania yaainisha njia na mbinu itakazotumia kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika nchini China mwezi Septemba…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amwakalisha Rais Samia kwenye ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma kwa nchi za Afrika Mashariki.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa.Dkt. Biteko ametoa agizo hilo…
CHINA YATOA USD 50 BILIONI KUSAIDIA MAENDELEO AFRIKA
• Asisitiza kutoingilia masuala ya ndani ya nchi • Ahaidi hakuna Taifa likakalosalia nyuma katika safari ya maendeleo • Ataja vipaumbele 10 vya ushirikiano wa kimkakati na Afrika Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi…
RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WIDODO WA INDONESIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 2 Septemba 2024 jijini Bali, Indonesia amefanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Joko Widodo kuhusu masuala mbalimbali ya kuimarisha…