NAIBU WAZIRI CHUMI AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi (Mb.) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mohamoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo…