Mkutano wa 48 wa SCTIFI Waanza Jijini Arusha
Mkutano wa 48 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza leo, Mei 29, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha.Mkutano huo umeanza kwa…