Waziri Mahiga akutana na Balozi wa Zambia nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi. Dkt. Augustine Mahiga akutana na Balozi wa Zambia nchini, Mhe. Judith Kapijimpanga. Katika mazungumzo yao wamejadili masuala mbalimbali ya kuimarisha uhusiano…