WABUNGE WA EALA WATAKIWA KUWEKA MASLAHI YA UMMA MBELE, BALOZI KOMBO
Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesisitizwa kuyabeba majukumu waliyopewa kwa uzito unaostahili, huku wakiweka mbele maslahi ya umma wakati wanatekeleza majukumu yao.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa…