NAIBU WAZIRI LONDO ASHIRIKI MKUTANO WA 45 WA SCTIFI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikiq masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis L. Londo ameshiriki Mkutano wa 45 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji la…