MHE. ANNE MAKINDA ARIDHISHWA NA UCHAGUZI MKUU WA NAMIBIA ASEMA ULIKUWA WA AMANI NA UTULIVU
Spika wa Zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Namibia; ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-SEOM), Mhe. Anne Semamba Makinda, ameelezea kuridhishwa na uchaguzi…