MAKATIBU WAKUU SADC - TROIKA WAKUTANA KUJADILI SIASA NA USALAMA Makatibu Wakuu wa SADC -TROIKA wamekutana na kujadiliana Mambo mbalimbali yakiwemo masuala ya hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama ndani ya SADC mjini Gaborone, Botswana.…
MAWAZIRI SADC - TROIKA WAKUTANA KWA DHARURA BOTSWANA Baraza la Mawaziri wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wakutana katika mkutano wa dharura na kujadili masuala ya siasa, ulinzi na usalama. Mkutano huo…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tanzania yashiriki Mkutano wa SADC wa Troika Mbili na Washirika wa Maendeleo Dodoma, 21 Novemba 2020 Tanzania imeshiriki Mkutano wa SADC wa Troika Mbili (SADC Double Troika na Washirika wa Maendeleo (International…
PROF. KABUDI: TUTASHIRIKIANA NA TAIFA LOLOTE LINALOIHESHIMU TANZANIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amesema Tanzania itashirikiana na nchi yoyote duniani ambayo inatambua…
TANZANIA YAAHIDI KUENDELEA KUISAIDIA CONGO KULINDA AMANI UKANDA WA MAZIWA MAKUU Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuendelea kuisaidia Congo kulinda amani na kuhakikisha changamoto za ulinzi na usalama zinazoikabili…